Paul Mgaza

Team Assistant Pastor Paul Mgaza

Paul Mgaza

Personal Information

Paul Mgaza
Assistant Pastor, Dar Vineyard Church.

Hello, my name is Paul. I serve as an Assistant Pastor at Dar Vineyard.

I received Jesus Christ when I was 21 years old, from a family that did not know Jesus.

One important step in the year 2000, after following Jesus, was that I served God in several places such as schools, prisons, hospitals, and on the streets.

In 2018, I went to Vineyard Bible College in Arusha to study leadership. After completing my studies, I now serve as an Assistant Pastor at Dar Vineyard Church.
My wife and I, Twitike, got married in 2009 and we have two children. In our service as a married couple, we are guided by the Holy Spirit.

My desire is to reach the community with the Word of God in different places so that they may follow Jesus Christ and be transformed.

Before coming to Dar Vineyard Church, I served in Pugu Vineyard Church and Morogoro Vineyard Church as an Assistant Pastor.


Paul Mgaza
Mchungaji Msaidizi, kanisa la Dar Vineyard.


Habari mimi ni Paul,ninatumika kama Mchungaji Msaidizi Dar Vineyard.
Nilimpokea Yesu Kristo nikiwa na miaka 21 kutoka kwenye familia isiyomjua Yesu.
Hatua moja muhimu mwaka 2000 baada ya kumfuata Yesu nimemtumikia Mungu maeneo kadhaa kama vile Mashuleni, Magerezani, Hospitalini na Mitaani.
Mwaka 2018 nilienda chuo cha Vineyard Arusha kusomea maswala ya Uongozi ambapo baada ya kumaliza chuo ninafanya kazi kama Mchungaji msaidi katika kanisa la Dar Vineyard.
Mimi na Twitike tulifunga ndoa mwaka 2009 na tuna watoto wawili, katika kutumika kama wana ndoa tunaongozwa na Roho Mtakatifu.
Shauku yangu ni kuifikia jamii kwa Neno la Mungu kwenye maeneo mbali mbali ili wamfuate Yesu Kristo na kubadilika.
Kabla ya kuja kanisa la Dar Vineyard,Nimetumika katika kanisa la Pugu Vineyard, Morogoro Vineyard kama Mchungaji Msaidizi.